• 1. MAMBO YA JUMLA YA KUZINGATIA.
  1.1. Mtu yeyote anayedhamiria kufanya biashara ya chakula kwa matumizi ya binadamu sharti atume maombi TFDA kwa ajili ya usajili wa majengo na kibali cha kuendeshea biashara hiyo.

  1.2. Ili kutimiza matakwa ya kisheria,mwombaji ana wajibu kufuatilia maelekezo kwa ajili ya usajili wa majengo ya utengenezaji…[Read more]

 • Elimu ya Uwekezaji
  Na Douglas Damas

  Katika makala iliyopita tulipata fursa ya kujifunza maana ya uwekezaji,nani hasa anayetambuliwa kama mwekezaji,aina ya vitega uchumi na umuhimu wake.Katika makala haya tutajifunza kwa kina uwekezaji kwenye hisa,lengo likiwa kukupatia msingi unaohitaji kwa ajili ya kufanya maamuzi yako binafsi ya…[Read more]

 • Elimu Ya Masoko
  Na Deodat Bernard

  Katika makala yaliyopita tulijifunza maana halisi ya soko, matakwa na mahitaji ya wateja yanayohitaji kutimizwa na bidhaa au huduma zinazotolewa na biashara. Makala haya yanajikita katika kukupa mbinu za kuuza na kukuza mauzo katika biashara yako. Kwa kawaida, lengo kuu la biashara ni kutoa huduma na kupata…[Read more]

 • Na Deodat Bernard
  +255 717 222 680

  Katika toleo lililopita uliweza kujifunza nini maana ya mtaji wa biashara, aina za mitaji na umuhimu wake wakati wa kuanza biashara. Katika makala haya utapata fursa ya kujifunza ukuzaji wa biashara na jinsi ya kupata mtaji kwa ajili ya upanuzi na uendelezaji wa biashara.

  Kwa kawaida ukuaji wa biashara unaweza…[Read more]

 • Na Mabula emmanuel
  0783676690
  Kijambua ni nini? neno kujitambua linatokana na neno tambua lenye maaana ya kujua ukweli wa kitu Fulani kwa kina,kwahiyo kujitambua ni hali ya kujijijua vilivyo kwa kina.ingawa watu wengi sana waishi lakini hawajitambui kaw kina.

  Huwezi kuzungumzia ujasiriamali bila kumtaja Mungu. Lakini pia huwezi kuwa mjasiriamali…[Read more]

 • Na Douglas Damas
  +255 784 602 375
  Katika makala haya tunakuletea uchambuzi kuhusu mjasiriamali anayechipukia Tanzania. Uchambuzi huu utajumuisha historia yake kimaisha; kiwango chake kielimu; tabia binafsi; maadili; kanuni na nidhamu aliyonayo; kipato chake; biashara au teknolojia alizoibua; mahusiano na maisha yake kifamilia. Aidha tutajifunza…[Read more]

 • Katika makala haya tunakuletea uchambuzi kuhusu mjasiriamali anayechipukia Tanzania. Uchambuzi huu utajumuisha historia yake kimaisha; kiwango chake kielimu; tabia binafsi; maadili; kanuni na nidhamu aliyonayo; kipato chake; biashara au teknolojia alizoibua; mahusiano na maisha yake kifamilia. Aidha tutajifunza namna anavyoendesha biashara; namna…[Read more]

 • Mabula Emmanuel posted an update 1 year ago

  Tutaendelea Kutoa elimu juu kujiboresha katika swala zima la ujasiriamali. Karibu nyote wenye maandiko/makala ambayo yataweza kutuboresha katika kujijenga kibiashara

  Asante

 • Mabula Emmanuel changed their profile picture 1 year ago

 • Makala haya yanalenga kuchambua kwa kina tabia za wajasiriamali, na kukusaidia kutathmini tabia zako dhidi ya tabia za kijasiriamali na namna ya kujijengea tabia hizi.Dhumuni likiwa ni kujitambua na kujiendeleza mwenyewe tayari kwa fani ya ujasiriamali.

  A: Tabia za Wajasiriamali
  Tabia tano (5) za kumtambua mjasiriamali
  Tabia 1: Hamu ya…[Read more]